Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Huyo kwa avatar yangu ni Shaaban Robert, Baba wa kiswahili. Napenda kiswahili lugha poa sana ndio lugha yangu ya kwanza kuijua(fikra halisi huja kwa lugha asili), sipendi zile " xawa, tantee, jomoni, vepe, na zingine kama izo" Hua namuona fala sana anae andika au kuongea ivo
Xawa....... Nduki

Mimi sio fala
 
Nilivyokuwa nakufikiria kumbe nilikuwa sawa
Hiyo Avatar yangu ni picha ya empty profile tu, lakini hilo neno Polymath' kwenye iyo Avatar ndo imebeba uhalisia wa Avatar nzima, "POLYMATH" ni nini.'? Polymath' linaeleza mtu ambaye ni Expert kwenye more than one category
I am'_ _ _ _ _
-Dreamer
-business man
-inventor
-investor
-futurist
-artist
-mathematician,
-Programmer
Siku najiunga jf nilipata shida kati ya kuchangua kati CYBERGATES AU POLYMATH kama Id: sema cybergates nalipenda zaid.
Write your reply...
 
Mm yakwangu ichambue wenyewe mkishindwa ntawajibu
tapatalk_1538925753000.jpeg
 
Avatar yangu ni uzalendo unaonipa uthubutu wakuwajibika juu ya nchi yangu! Haijalishi ugumu na hatarii katika kazi kikubwa uzalendo uliotukuka!!
 
Muhammad ali. Napenda sana namna jamaa aliishi maisha yake. Alikuwa mpambanaji, mcheshi, mnyenyekevu na asiependa uonevu. Nadhani nashabihiana naye sana kwa mambo hayo.
 
Kwanza kabisa id yangu ni HAZARD CHEMICAL PLATE. ikiwa na maana lebel inayobeba ujumbe kuhusu vimiminika hatari. Hii hutumika katinga HANDLING OF DANGEROUS GOODS.

Hii ni moja Ya Modules nilizozipenda sana wakati nafanya degree yangu ya kwanza ya Logistics na Usafirishaji
 
Mm avater nayotumia ni ya bilionea kutoa SA, anatwa Nicky oppenhermer ni former chairman wa kampuni ya alimasi huko SA inaitwa De Beers Ltd, ana utajiri wa Usd $7.7b
mm nilichangua hii picha 'avater' kuwakilisha profile yangu kwa sababu nilipata kusoma kuhusu mafanikio yake anaamini kwenye kujitua na kujitoa ili kufanikiwa haijalisi upo kwenye hali gani.. Kila mara nikiangalii picha inanifanya nikumbuke maneno yoke na pia nifanye juhudi kutimaza malengo yangu.
Kwa mnaotumia Avater kama mm hiyo avater yako ni ya nani?? Au ndo wewe.?? Pia kwa nini umechangua hiyo avater tupe japo ka story behind
Mikononyuma.......................
 
Huyo kwa avatar ni Shahrukh Khan, king of bollywood. Huwa ananinspire sana. Ukifuatilia story yake alianza chin kabisa bila kubebwa. Juhudi na nidham ndio zimemfanya kuwa muigizaj wa pili kwa utajiri duniani.

Naamin kwenye kila mafanikio kuna siri nyuma yake, siri ya wengi ni juhudi na nidham kwa kile unacho kifanya.
King Khan... Baba Suhana,baba Aryan baba Abram
 
Back
Top Bottom