Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,517
Xawa....... NdukiHuyo kwa avatar yangu ni Shaaban Robert, Baba wa kiswahili. Napenda kiswahili lugha poa sana ndio lugha yangu ya kwanza kuijua(fikra halisi huja kwa lugha asili), sipendi zile " xawa, tantee, jomoni, vepe, na zingine kama izo" Hua namuona fala sana anae andika au kuongea ivo
Mimi sio fala