Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Mimi huyu jamaa zaidi ya 85% nafanana nae hvyo niliamua kumtumia kama avatar yangu
 
Hiyo avatar ni mimi mwenyewe...nimejificha sura maana naona aibu sana.
Hapo nilikuwa bar Arusha napata moja moto moja baridi.
Najikubali...ndio maana nimejiweka

Nilijua tu kama utakuwa hivyo madame B..Ila hapo kwenye aibu nina doubts [emoji848]
 
Huyo kwenye avatar wala simjui niliona picha imetumwa hivyo group fulani nikashtuka nikajua ni mimi kuifungua nikakuta sio mimi ila tunaendana flani kimuonekano Na hiyo avatar nikaamua kuitumia huku

Hope utakuwa unaendana nae Kwenye masuala ya shepu na nyama zake[emoji41]
 
Huyo kwa avatar yangu ni Shaaban Robert, Baba wa kiswahili. Napenda kiswahili lugha poa sana ndio lugha yangu ya kwanza kuijua(fikra halisi huja kwa lugha asili), sipendi zile " xawa, tantee, jomoni, vepe, na zingine kama izo" Hua namuona fala sana anae andika au kuongea ivo
jamaa alikuwa kabira gani?
 
Back
Top Bottom