Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Yangu nimeiweka kwa dhumuni la kumuathili kisaikolojia ninaye mpinga hoja, nikimpinga then akiiona avatar yangu ana imagine kama ninamng'ong'a furani vile.
Kumuathiri sio kumuathili....
Fulani sio furani.......
 
Huyo Dada anaitwa Tais Araujo au Preta.Ni actress wa Kibrazil nilimfahamu kwenye Tamthilia ya Shades of sin.Navutiwa sana na muonekano na uigizaji wake.Halafu tunafanana wembamba. [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah! Umenikumbusha Paco, Mr Alfonso na Family ya Papushika. Naikubali sana and that's why avatar yangu nikatumia Papushika...
 
Currently seen ni mimi mwenyewe......Had to post my own pic because of a dare, so it'll be up for a short while only ! Ila my regular Avatar since I joined ni ya miss Ethiopia; huku nilipo I always get confused na watu wa Ethiopia!
 
Okay...Naomba ridhaa ya
Kuisave for a short while pia..

Currently seen ni mimi mwenyewe......Had to post my own pic because of a dare, so it'll be up for a short while only ! Ila my regular Avatar since I joined ni ya miss Ethiopia; huku nilipo I always get confused na watu wa Ethiopia!
 
Avatar yangu inanikumbusha wajibu wa mwanadamu hapa duniani. Nje ya hapa ni mizigo ya kujitakia. Simple
 
Back
Top Bottom