TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
I like ur id
Oya unamaanisha Cillian Murphy?hasa za huyo jamaa maana naonaga kama hakuna anachoweza!
Oya unamaanisha Cillian Murphy?
Kama unamaanisha huyo mwamba aliebreak insta kwa clips zake basi nina hofu na taste yako ya movie, na oppenheimer ni yy tu kainogesha.
Iangalie kwanza ndo urudi kwenye uzi wako
Cillian Murphy Hajawahi Kukosea.
Hiyo Movie Bado Sijaitazama Ila Kwa Juu Juu Inahusu Mambo Ya Albert Einstein. (Time Travel & Modern Physics)
Sawa mkuu,nasubiri mrejesho wakoNimeipakua leo ngoja niicheki nitakupa mrejesho
Muvi ya kishwaini sana, Sema imejipatia umaarufu sababu ya vita ya Israel inayoendelea Sasa Mana muvi yenyw nahusu mission za kivita za israel kwa kushirikiana na cia
Mzee wa peaky blinders 🤣🤣🙌Oya unamaanisha Cillian Murphy?
Kama unamaanisha huyo mwamba aliebreak insta kwa clips zake basi nina hofu na taste yako ya movie, na oppenheimer ni yy tu kainogesha.
Iangalie kwanza ndo urudi kwenye uzi wako
Hii sisu ni funga mwaka 2023 🤣🤣🙌Kama sisu tu,imejaa ulaghai na utoto mwingi hata sikuimaliza
Acha uongo. Oppenheimer inahusu Manhattan Project, development of atomic bomb.Muvi ya kishwaini sana, Sema imejipatia umaarufu sababu ya vita ya Israel inayoendelea Sasa Mana muvi yenyw nahusu mission za kivita za israel kwa kushirikiana na cia
Muvi ya kishwaini sana, Sema imejipatia umaarufu sababu ya vita ya Israel inayoendelea Sasa Mana muvi yenyw nahusu mission za kivita za israel kwa kushirikiana na cia
Pamoja MkuuIangalie kwanza halafu uje utueleze mkuu!