Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mm ndio nakisikia leo hiki chuo..
kama ni tawi la saut watakuwa smart.
kipo town karibu na chuo cha ualimu tabora.
hostel zipo( on and off camous)
bado kipya hakina miaka mingi. mihayo university
Msisahau mashory wa chuo cha uhazili tpsc wanapiga vimin balaa.
mwaka huu kuna timu ya ligi kuu rhino mtaziona simbs yanga azam zikija hapo.
mh Rage ndiye mbunge wenu.
Mi nimechaguliwa hapo!kwani vp?
Kozi gani mkuu.
BAed mkuu.vipi kuhusu mazingira ya chuo?hostel zipo?vipi gharama zake?
Hiki chuo hakina hostel za kwa ajili ya wavulana zipo chache kwa ajili ya wasichana.
unachokiongea ni kwel???????
Hostel ni chache kwenye hichi chuo