Kwa mliochaguliwa AMUCTA.

Kwa mliochaguliwa AMUCTA.

Ina maana waliochaguliwa hiki chuo humu hawamo.
 
kama ni tawi la saut watakuwa smart.
kipo town karibu na chuo cha ualimu tabora.
hostel zipo( on and off camous)
bado kipya hakina miaka mingi. mihayo university
Msisahau mashory wa chuo cha uhazili tpsc wanapiga vimin balaa.
mwaka huu kuna timu ya ligi kuu rhino mtaziona simbs yanga azam zikija hapo.
mh Rage ndiye mbunge wenu.
 
hujamuelewa bwana Molembe
 
Last edited by a moderator:
Hiki chuo hakina hostel za kwa ajili ya wavulana zipo chache kwa ajili ya wasichana.
 
Back
Top Bottom