Kwa mliochaguliwa IFM...

nimechafukwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
288
Reaction score
230
Karibun sana wadogo zetu mnaokuja pale...japo wengi wanakitambua ka chuo cha wauza sura au institute of fashion & modeling(hii ilikua zamani kuna kupga msulii balaaa..maana ukifell core subject hakuna ku carry unarudia mwaka).....pia kuhusu Hostel kupata ni shda sana lazma uhonge kama 400.000 hiv..afu uje ulipe 450000 kama fee...total inakua 850.000 nawashauri mtafute hostel kigamboni au mageto..ukitaka geto zuri ni kuazia 50.000.....pia kama huna loan maisha ni magumu kimtindo maana chuo kipo city centre
Ila watu wanakomaa tu hvyohyo kigumu....KARIBUNI SANAA
 
Mi tax ila n0t secure 4 loan yan npo magomen bt ata 4m naona aibu kufuata kwan cna uhakika ka ntasoma kwel
 
Utasoma tu kk..mbna poa tu....ka hali,mbaya,nyumban....bora upge day...uwe unarud om ata ule msosi wa nyumbani...ada waombe hata ndugu wakuchangie ..ukiwa unaaza ni kama 1050.000 hiv
 
IFM >institute of fool management,, hii ni taasisi haina hadhi ya kutoa degree
 
IFM >institute of fool management,, hii ni taasisi haina hadhi ya kutoa degree

Inaonekana direct una wivu mbaya... Nenda maofisini uwaone graduates wa ifm wanavyopiga kazi na kuwa trusted by employers... Kutoa degree co tatizo,,, kinatoa pia MASTERS N PHd... UTAKUFA KWA WIVUU WAKO KISA WEWE HUJAPATA PALE...
 
Afadhali kk umeongea....hawa ndo wale wa CBE
 
Bro naomba unisaidie nataka kujua pale ifm mara nyingi vipindi vinaisha saa ngapi kwa wanaosoma computer science? Mimi nakaa mbagala na sina mpango wa kukaa hostel, usafiri wa huku kwetu kwa jioni ni balaa. Nisaidie kwa hilo bro nijue kabisa najipanga vipi
 
Inaonekana direct una wivu mbaya... Nenda maofisini uwaone graduates wa ifm wanavyopiga kazi na kuwa trusted by employers... Kutoa degree co tatizo,,, kinatoa pia MASTERS N PHd... UTAKUFA KWA WIVUU WAKO KISA WEWE HUJAPATA PALE...

Huyo jamaa ni mburura sana,tena ana wivu mbaya sana,au yeye amechaguliwa uds nini au chuo cha kata yani udom
 
IFM SIO CHUOKIKUU KABISA NA UBORA WA DEGREE Za IFM, UNATILIWA MASHAKA
 
Vipindi inategemeana...kuna,siku vinaweza kuisha hata asubuhi...cku nyingne saa moja jioni....kwa week unaweza chelewa kutoka kama siku mbili hiv...pia wakat wa mtihani ndo shda..mitihani mingine inaisha hadi saa 3 usiku
 
Ifm wanatoa phd??hao walimu wenye phd wapo wawili na hio phd wanafundisha nani?.hakuna lecturer udsm,ardhi,sua,udom ambae alisoma ifm..
 
Kigamboni sasa imekuwa salama? Kutokana na matukio ya wizi yaliyokuwa yanatoke
 
Bure ghali huko,wenzenu walikua wanalawitiwa huko,na nyinyi mtafiti boxer zenye password
 
Ifm wanatoa phd??hao walimu wenye phd wapo wawili na hio phd wanafundisha nani?.hakuna lecturer udsm,ardhi,sua,udom ambae alisoma ifm..

Wewe huna akili kwani lecturer wa ifm hawezi fundisha UDOM,ARDHI,UDSM
 
Wewe huna akili kwani lecturer wa ifm hawezi fundisha UDOM,ARDHI,UDSM
Wewe unaelewa kiswahili??amesema mtu aliesoma ifm hawezi kufundisha hivyo vyuo,na mimi namuunga mkono pia coz hakuna lecturer hata mmoja udsm,sua,ardhi ambae background yake ya bachelor inaanzia ifm,wanafundisha huko huko amazon college,na wewe kama ndio walimu wako pole sana
 
Jamani ukichelewa kidogo kuripot kuna tatizo 2jazie kwanza hyo pesa ya ada..
Mnijuze mpaka kwenye tarehe 12.??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…