Kwa mliochaguliwa IFM...

Kwa mliochaguliwa IFM...

Kama umesoma UDSM kisha huna kazi au mshahara mdogo kuliko yule alokuwa hajenda ata shule utakuwa na maana gani na gamba lenye nembo ya UDSM?? Mnafagilia vyuo, ulimbukeni mtupu, wewe kaa uponde taasisi ya mwenzako, yeye ala good time wewe unahangaika mjini. Heshima pesa sio karatasi litakalokuonesha wap umesoma!!
 
Bro naomba unisaidie nataka kujua pale ifm mara nyingi vipindi vinaisha saa ngapi kwa wanaosoma computer science? Mimi nakaa mbagala na sina mpango wa kukaa hostel, usafiri wa huku kwetu kwa jioni ni balaa. Nisaidie kwa hilo bro nijue kabisa najipanga vipi

Ipi huanza saa moja na kuisha saa 12...ila unaweza kukuta kipindi ni kimoja tu cha saa 1 kwa week na kimoja cha saa 10 ambaxho kitaisha saa 12 so you can manage still.
 
Wewe unaelewa kiswahili??amesema mtu aliesoma ifm hawezi kufundisha hivyo vyuo,na mimi namuunga mkono pia coz hakuna lecturer hata mmoja udsm,sua,ardhi ambae background yake ya bachelor inaanzia ifm,wanafundisha huko huko amazon college,na wewe kama ndio walimu wako pole sana

Mbona nina mjomba wangu kasoma advanced diploma ifm then masters india ,anapiga lecture ARDHI masomo ya uhasibu
 
Kwanini mtu aliyesoma IFM ashindwe kufundisha hivyo vyuo?? ,
 
IFM SIO CHUOKIKUU KABISA NA UBORA WA DEGREE Za IFM, UNATILIWA MASHAKA

we inakuhusu nini... Hii thred ni kwa wana ifm tu.... Sasa kama hakina hadhi we inakugusa vipi.... Au ndio tuseme paka jike uliye ktk joto unatafta dume....
 
Back
Top Bottom