Bro naomba unisaidie nataka kujua pale ifm mara nyingi vipindi vinaisha saa ngapi kwa wanaosoma computer science? Mimi nakaa mbagala na sina mpango wa kukaa hostel, usafiri wa huku kwetu kwa jioni ni balaa. Nisaidie kwa hilo bro nijue kabisa najipanga vipi
Wewe unaelewa kiswahili??amesema mtu aliesoma ifm hawezi kufundisha hivyo vyuo,na mimi namuunga mkono pia coz hakuna lecturer hata mmoja udsm,sua,ardhi ambae background yake ya bachelor inaanzia ifm,wanafundisha huko huko amazon college,na wewe kama ndio walimu wako pole sana
IFM SIO CHUOKIKUU KABISA NA UBORA WA DEGREE Za IFM, UNATILIWA MASHAKA