kwa wale wote mliochaguliwa SUA kwanza nawapa pongezi kwa kupata admission...kwa kuwasaidia kama wadogo zangu ni kwamba ORIENTATION COURSE inaanza tar 08/10/2012 hivyo mnatakiwa kuripoti chuoni mapema kwa ajili ya registration hii ni kutokana na almanac ya chuo
shukrani mkuu !! Ingekuwa pouwa sana kama ungetupa information kuhusiana na kiasi gani cha pesa kinachotakiwa hasahasa ukigusia mambo kama vile medical money, identiy card,hostel per annual na michango mingne ambayo nimesahau !!
kama umepewa 100% uje na kama laki 3 huku unasubiri boom,....
sawa mkuu !! Vp kuhusu izo asilimia nyingne za mkopo itabidi ulipe kiasi gani? And kuhusu boom inachukua muda gani? Kutoka
Tupe utangulizi kaka baro tukifika tusishangae,vipi maswala ya Hostel!
inategemea umepewa % ngapi...boom linachukua siku 3 kwa CRDB na wiki 1 kwa NMB baada ya kusaini
CRDB na NMB ni wap wanazingua hasa kwa hapo..umbali wa benk toka sua..na mambo kama hayo..inategemea umepewa % ngapi...boom linachukua siku 3 kwa CRDB na wiki 1 kwa NMB baada ya kusaini
CRDB na NMB ni wap wanazingua hasa kwa hapo..umbali wa benk toka sua..na mambo kama hayo..
hostel ni nzuri saaaaana hasa mtakaobahatika kuishi NEW HOSTEL,..hapa nazungumzia BVM<ENGINEERING,BIOTECHNOLOGY na wengineo hostel zina kila kitu yaani kwa ufupi ni za kisasa na pia zipo karibu na town...so msihofu tutakuwa pamoja mm naenda moro mwezi ujao baada ya field so mtanikuta ....mawasiliano nitawapa baadae kwa mtakaohitaji msaada zaidi
thanks mkuu !! Vp kuhusiana na mavazi katika kozi husika naskia kuna kozi nyingne wanapiga biti kuvaa jeans na vimini kwa kina dada embu tufafanulie
suala la mavazi ni juu yako ila vaa mavazi ya heshima kama mwanachuo sio uwe kama konda....kwa kifupi nyie wa BVM kuna mama anaitwa profesa apolinary pereka yeye huwa anawapiga sana mabango wanovaa kiajabuajabu anapenda mtu anayejipenda yaani hufanane na mwanachuo...hayo utayakuta hapo facaulty of veterinary medicine
thanks mkaka nw i undrstnd...swali lingine la kizush..kuna haja sana ya mtu kuwa na computer(laptop)..kwa wewe unavyoona!??zote zipo chuoni..nazani hujanielewa ni kwamba kama wewe utaweka account ya crdb utawhi kupta boom coz loan sua imeingia mkataba na crdb kwa hyo pesa cheki inapotoka loan board inaanzia crdb,..then wao ndo wanahamisha kupeleka bank nyingine
thanks mkaka nw i undrstnd...swali lingine la kizush..kuna haja sana ya mtu kuwa na computer(laptop)..kwa wewe unavyoona!??
thanks mkaka nw i undrstnd...swali lingine la kizush..kuna haja sana ya mtu kuwa na computer(laptop)..kwa wewe unavyoona!??
vp kuhusiana na Usafiri kutoka hostel kwenda chuoni je ni wakusuasua? Afu nieleweshe kuhusiana na suala zima la msosi bei iko juu sana au iko low