Kwa mliochaguliwa sua

Kwa mliochaguliwa sua

kwa wale wote mliochaguliwa SUA kwanza nawapa pongezi kwa kupata admission...kwa kuwasaidia kama wadogo zangu ni kwamba ORIENTATION COURSE inaanza tar 08/10/2012 hivyo mnatakiwa kuripoti chuoni mapema kwa ajili ya registration hii ni kutokana na almanac ya chuo

kaka hivi kwenye website ya sua wametoa selected applicants kama vyuo vingine?
 
Mwana endelea kutupa info[update] kama hizo maana haya mambo sometime haitakiwi uingie kichwakichwa unaweza kula za uso!
 
labcoat muhimu ukawa nayo mapema kama umechaguliwa bvm, ila gumboots ukifika chuon utanunua mana nazo ni muhimu. Karibu sua shule sio ngumu wala rahis ila u must work hard otherwise u will fail 2 exist

vipi? Kuhusu vitabu
 
Mwana endelea kutupa info[update] kama hizo maana haya mambo sometime haitakiwi uingie kichwakichwa unaweza kula za uso!

umeona eeh !! Hawa jamaa wakija naomba watujibu haya maswali yetu na mengineyo tutakayowauliza naomba msituchoke na maswali yetu wakubwa
 
jamani kwa anaejua jinsi ya kubadilisha kozi hapa sua, aniambie maana mmmmh nna headache mbaya hapa ....
 
inategemea umepewa % ngapi...boom linachukua siku 3 kwa CRDB na wiki 1 kwa NMB baada ya kusaini
waambie na kabla ya kusaini ili wajiandae maana sua mostly inakuwaga wa mwisho kusign
 
Wale wa Bvm shule inaanza on the sport siku ya kufungua, na haina kuremba kitu cha anatomy, biochemistry kama kawa kama vp anza kupata reference mana quiz ni kama kawa kila baada pindi...
isee hilo soma sina hamu nalo kabisa, limenitesa kinyama yani, instaractor wenyewe walikuwa wa5 maprof 3 na madr 2 mtihani ni t/f, matching, filling the blanks, multiple choice, maswali mia, handout mzigo, dah!
 
duuh mbna unanitishaa iyo t/f ndo mtihani gani tena
 
dada kujiandaa vp tena
at least uwe na hela ya matumi ya kama mwezi ivi, usitegemee kupata boom baada tu ya kureport, to be in a safe side anza kujiwekea kidogo kidogo, tunawaona watu wanavyo pigaga miayo pale, mtu anakula mlo mmoja/day!?
 
xafi xana vp kuhusiana na bei ya msosi iko juu au low? Kwa iyo ukija na kama laki3 itatosha ryt?
 
uliwahi piga t/f ya maswali 40 ukapata 10?

Nop? May be 30 out of 40? Vp kwenye izo test mnazofanya wana record marks ambapo baadae zitajumuishwa ktk wastan au inakuaje?
 
Back
Top Bottom