kwa wale wote mliochaguliwa SUA kwanza nawapa pongezi kwa kupata admission...kwa kuwasaidia kama wadogo zangu ni kwamba ORIENTATION COURSE inaanza tar 08/10/2012 hivyo mnatakiwa kuripoti chuoni mapema kwa ajili ya registration hii ni kutokana na almanac ya chuo
labcoat muhimu ukawa nayo mapema kama umechaguliwa bvm, ila gumboots ukifika chuon utanunua mana nazo ni muhimu. Karibu sua shule sio ngumu wala rahis ila u must work hard otherwise u will fail 2 exist
Mwana endelea kutupa info[update] kama hizo maana haya mambo sometime haitakiwi uingie kichwakichwa unaweza kula za uso!
kaka hivi kwenye website ya sua wametoa selected applicants kama vyuo vingine?
jamani kwa anaejua jinsi ya kubadilisha kozi hapa sua, aniambie maana mmmmh nna headache mbaya hapa ....
waambie na kabla ya kusaini ili wajiandae maana sua mostly inakuwaga wa mwisho kusigninategemea umepewa % ngapi...boom linachukua siku 3 kwa CRDB na wiki 1 kwa NMB baada ya kusaini
isee hilo soma sina hamu nalo kabisa, limenitesa kinyama yani, instaractor wenyewe walikuwa wa5 maprof 3 na madr 2 mtihani ni t/f, matching, filling the blanks, multiple choice, maswali mia, handout mzigo, dah!Wale wa Bvm shule inaanza on the sport siku ya kufungua, na haina kuremba kitu cha anatomy, biochemistry kama kawa kama vp anza kupata reference mana quiz ni kama kawa kila baada pindi...
waambie na kabla ya kusaini ili wajiandae maana sua mostly inakuwaga wa mwisho kusign
isee hilo soma sina hamu nalo kabisa, limenitesa kinyama yani, instaractor wenyewe walikuwa wa5 maprof 3 na madr 2 mtihani ni t/f, matching, filling the blanks, multiple choice, maswali mia, handout mzigo, dah!
true and false, usiogope mbona watu wanamaliza?duuh mbna unanitishaa iyo t/f ndo mtihani gani tena
true and false, usiogope mbona watu wanamaliza?
at least uwe na hela ya matumi ya kama mwezi ivi, usitegemee kupata boom baada tu ya kureport, to be in a safe side anza kujiwekea kidogo kidogo, tunawaona watu wanavyo pigaga miayo pale, mtu anakula mlo mmoja/day!?dada kujiandaa vp tena
true and false, usiogope mbona watu wanamaliza?
uliwahi piga t/f ya maswali 40 ukapata 10?mzuks kwa iyo ki2 ni nyepesi ka unakunywa maji au siyo !! Afu iyo labcoat dukan ni sh ngapi?
at least uwe na hela ya matumi ya kama mwezi ivi, usitegemee kupata boom baada tu ya kureport, to be in a safe side anza kujiwekea kidogo kidogo, tunawaona watu wanavyo pigaga miayo pale, mtu anakula mlo mmoja/day!?
zipo afu unakuwa huoni cha kujibuduuh !! Kumbe chuo napo kuna multiple choice and true and false
uliwahi piga t/f ya maswali 40 ukapata 10?