Kwa mliochaguliwa sua

pale chuo wanauza ila ni za polister fulani ivi, kama uko bvm utalitumia sana so nunua ambalo ni imara, kwa pale wanauza 18 elfu
 
Nop? May be 30 out of 40? Vp kwenye izo test mnazofanya wana record marks ambapo baadae zitajumuishwa ktk wastan au inakuaje?
basi kupata marks za ivo si ajabu pale na hapo unakuwa upo juu, zinarecordiwa na mbaya zaidi karatasi za maswali wanachukuwa hakuna cha kufana correction wala nini, inabidi ukomae na hand out
 
basi kupata marks za ivo si ajabu pale na hapo unakuwa upo juu, zinarecordiwa na mbaya zaidi karatasi za maswali wanachukuwa hakuna cha kufana correction wala nini, inabidi ukomae na hand out

thanks 4ur advce vp ww uko mwaka wa ngapi? Au ushamaliza
 
pale chuo wanauza ila ni za polister fulani ivi, kama uko bvm utalitumia sana so nunua ambalo ni imara, kwa pale wanauza 18 elfu

xo madukani zinatoka kwa ngapi?
 
kwa wachache wale wanaochelewa kuriport

teh teh, ninalo kwa zaidi ya miaka 7 sasa

if posiple do it, usije kuwa unakula air baga

miaka 7 kwa iyo unakula kitu cha master au? Afu warembo wapo maana sisi wengne bila warembo hatuwezi soma aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…