Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Tshs. Ya Uganda 🤣🤣🤣 Jamaa inawezekana hajawahi kutembea kabisa nje ya kanda ya ziwa anapo toka yeye kama asemavyo LIKUDNgoja watoto wa mjini waishi na "Tsh za Uganda" mtaji wao upo hapo wa kukupatia ban
Hilo ni popoma mkuu, limekuwa likisumbua humu Jf Miaka nenda rudi, halijui hata hela ya Uganda ni nin😁Wanadamu tumeumbwa kukosea hili ni kweli.
Lakini kabla ya kutuma ujumbe au post lazima utulie na upitie upya ujumbe wako au post yako ili ukituma ulete maana na kusudio unapotaka kuufikisha.
Pesa ya Uganda ni UGX, Na si USH.
IQ yako iko above Standard au below it?Tunaomba kazi huko
Acha kunipotezea muda Nut mmoja Wewe sawa?Wanadamu tumeumbwa kukosea hili ni kweli.
Lakini kabla ya kutuma ujumbe au post lazima utulie na upitie upya ujumbe wako au post yako ili ukituma ulete maana na kusudio unapotaka kuufikisha.
Pesa ya Uganda ni UGX, Na si USH.
Ni kweli sijui Hela ya Uganda ni nini ila Nyabe / Nyabenga lako Tukuka nalijua vyema tu kwakuwa huwa Nalitifua bila ya Huruma.Hilo ni popoma mkuu, limekuwa likisumbua humu Jf Miaka nenda rudi, halijui hata hela ya Uganda ni nin😁
Hapa ni above kabisaIQ yako iko above Standard au below it?
Naona.Hapa ni above kabisa
Hivi unajua kama mtu anaweza kukujua kupitia uandishi wako?Acha kunipotezea muda Nut mmoja Wewe sawa?
Huwezi kumjua Mchawi kama Wewe pia siyo Mchawi / Kigagula tukuka katika Jamii.Hivi unajua kama mtu anaweza kukujua kupitia uandishi wako?
Kuna vingi nimeona kupitia uandishi wako, Una mengi yana kusibu lakini unaweza badilika hujachelewa.
Hiyo ndo naisikia leo mkuu. Tshs. Za Uganda??? 🤣🤣🤣🤣