Kwa mlioko Uganda sasa ukilipwa Mshahara wa Ush za Uganda 9,000,000 siyo kwamba wanataka tu Kukua mapema kwa Starehe za Kufuru utakazofanya huko?

Wanadamu tumeumbwa kukosea hili ni kweli.
Lakini kabla ya kutuma ujumbe au post lazima utulie na upitie upya ujumbe wako au post yako ili ukituma ulete maana na kusudio unapotaka kuufikisha.
Pesa ya Uganda ni UGX, Na si USH.
Hilo ni popoma mkuu, limekuwa likisumbua humu Jf Miaka nenda rudi, halijui hata hela ya Uganda ni nin😁
 
Acha kunipotezea muda Nut mmoja Wewe sawa?
 
Ni kweli sijui Hela ya Uganda ni nini ila Nyabe / Nyabenga lako Tukuka nalijua vyema tu kwakuwa huwa Nalitifua bila ya Huruma.
 
Acha kunipotezea muda Nut mmoja Wewe sawa?
Hivi unajua kama mtu anaweza kukujua kupitia uandishi wako?
Kuna vingi nimeona kupitia uandishi wako, Una mengi yana kusibu lakini unaweza badilika hujachelewa.
 
Huwezi kumjua Mchawi kama Wewe pia siyo Mchawi / Kigagula tukuka katika Jamii.
 
Hiyo hela Uganda utalowanisha sana magodoro pamoja na kufyonza kwa sana bia pendwa ya Nile special.
 
Back
Top Bottom