Kwa mlioko Ughaibuni tu maeneo husika

Mzee usijal....vipi ulifika?? Mwanaume anaetafuta hatima ya kesho huwa hababaishwi na vitisho....maneno au vifijo.
Mm popote ninapodream ninastrugle kufika.
Nilifika,pasaka nikasherehekea nyumbani kwangu na familia yangu then nageuza tena kikazi.
 
Usijali mkuu, watanzania wengi wameishia Manzese, wanaona kama unafanya anasa kwenda mbali kumbe unapigana na maisha, achana nao kata mbuga mbele kwa mbele.
 
Tafuta mume akuoe..

Mbna tunakoseana adabu kibaba ?? Au umechukulia naku kejeli ?? Maana wabongo wengi huko wana tawaza vizee.. Tehe

Nikianza lugha chafu utahama humu. Ni vile umri, nimekua man. Hahaha
 
Mbna tunakoseana adabu kibaba ?? Au umechukulia naku kejeli ?? Maana wabongo wengi huko wana tawaza vizee.. Tehe

Nikianza lugha chafu utahama humu. Ni vile umri, nimekua man. Hahaha

Ala!

Wewe umeuliza swali nami nikakujibu.

Sasa tulipokoseana adabu ni wapi tena yakhe?

Wewe kama unataka kijani tafuta mume fasta.
 
Ala!

Wewe umeuliza swali nami nikakujibu.

Sasa tulipokoseana adabu ni wapi tena yakhe?

Wewe kama unataka kijani tafuta mume fasta.

Kwa hiyo unataka niambia we walikuoa waka kubidua ndio ukapata sio ?? Tehe

Aisee Hongera Sanaa. Daah
 
mimi niko L.A pande za kwa Mtogole huku..
kama vipi ukija nicheki kwa hewa hommie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…