Mojawapo ya ahadi zake na pengine iliyomuongezea kura na kupata wafuasi wengi wa Sera zake, Ni ile ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya masaa 24 Mara tu Baada ya kuapishwa. Trump aliapishwa Jana jioni na masaa 24 yatatamatika Leo mida ya saa mbili usiku. Je kufikia mda huo vita ya Ukraine na Urusi atakuwa ameimaliza?
Kama itakuwa bado inaendelea Basi wafuasi wake mpaka hapo mjue hakuna anachoweza kuwafanyia zaidi ya propaganda.
Hapo tukumbuke pia vita ya ushoga kashawasaliti kwa kumteua shoga katika balaza lake la mawaziri.