Anamaliza vita ya Ukraine kwa maslahi ya Nani?Mojawapo ya ahadi zake na pengine iliyomuongezea kura na kupata wafuasi wengi wa Sera zake, Ni ile ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya masaa 24 Mara tu Baada ya kuapishwa. Trump aliapishwa Jana jioni na masaa 24 yatatamatika Leo mida ya saa mbili usiku. Je kufikia mda huo vita ya Ukraine na Urusi atakuwa ameimaliza?
Kama itakuwa bado inaendelea Basi wafuasi wake mpaka hapo mjue hakuna anachoweza kuwafanyia zaidi ya propaganda.
Hapo tukumbuke pia vita ya ushoga kashawasaliti kwa kumteua shoga katika balaza lake la mawaziri.
Akizuia Funds kwenda Ukraine sini VITA zinaisha Tayari unadhani anaefanya uwepo nani ? Sini misaada?Anamaliza vita ya Ukraine kwa maslahi ya Nani?
Ya US maana akizuia ile fund iliyokuwa ikienda Ukraine itatumika kwa shughuli nyingine za maendeleo ya US.Anamaliza vita ya Ukraine kwa maslahi ya Nani?
Kwa Akili zako kabisa ulijua kuwa bi masaa24 vita itasimama?Mojawapo ya ahadi zake na pengine iliyomuongezea kura na kupata wafuasi wengi wa Sera zake, Ni ile ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya masaa 24 Mara tu Baada ya kuapishwa. Trump aliapishwa Jana jioni na masaa 24 yatatamatika Leo mida ya saa mbili usiku. Je kufikia mda huo vita ya Ukraine na Urusi atakuwa ameimaliza?
Kama itakuwa bado inaendelea Basi wafuasi wake mpaka hapo mjue hakuna anachoweza kuwafanyia zaidi ya propaganda.
Hapo tukumbuke pia vita ya ushoga kashawasaliti kwa kumteua shoga katika balaza lake la mawaziri.
Kwa hiyo mlikuwa mnaamini uongo wake mkijua kabisa mnadanganywa?!Kwa Akili zako kabisa ulijua kuwa bi masaa24 vita itasimama?
Uwe unajiongeza kwakushirikisha ubongo
Hata timu yake yenyewe aliyoituma kwa Putin wamesema ndani ya miezi kadhaa maana lazima yawepo maongezi kabla ya kumaliza hio ishuKwa hiyo mlikuwa mnaamini uongo wake mkijua kabisa mnadanganywa?!
Trump hawezi kuendelea kutoa misaada ya kijeshi kwa Ukraine. Viongozi wa Ukraine wamefanya rushwa sana kupitia hiyo misaada na kuwa matajiri.Kwa hiyo mlikuwa mnaamini uongo wake mkijua kabisa mnadanganywa?!
Nani alikudanganya Trump anachukuia au anajali Rushwa? Kuna Rais wa Marekani corrupt zaidi Trump ??Trump hawezi kuendelea kutoa misaada ya kijeshi kwa Ukraine. Viongozi wa Ukraine wamefanya rushwa sana kupitia hiyo misaada na kuwa matajiri.
Trump tangu awamu yake ya kwanza aliichana wazi Ukraine mbele ya Zelensky kuwa hawezi kupeleka pesa ambazo kodi za wamarekani kwa nchi ambayo inaongoza kwa rushwa duniani.
Licha ya hivyo, tangu huo msaada Ukraine aliyopatiwa hakuna chochote Ukraine alichokifanya. Eneo lake lilochukuliwa hajalirudisha na kila wiki kadhaa eneo lake la nchi linazidi kumegwa.
Kikubwa ni kwamba Trump hana interest na Ukraine yeye interest zake ni mashariki ya kati, huko ndo anaona kuna maslahi kuliko Ukraine tena Nato wajiandae aliloanzisha WHO anaweza akafanya kweli NATO maana aliwaambia na wao waongeze michango sio Marekani tu ndo awabebe kwa asilimia kubwa,,,,jamaa atakata misaada Ukraine na Nato wakizingua atajitoa anaenda kuongeza nguvu pale Israel ili maslahi yao mashariki ta kati yasitikiswe na Mrusi na Iran.........na pale mrusi anaweza akamlegezea kamba maana mashariki ya kati jamaa hana interest nako kivileNani alikudanganya Trump anachukuia au anajali Rushwa? Kuna Rais wa Marekani corrupt zaidi Trump ??
Kwani wenzake hawajiamini ?DT ni mtu wa bness vita kapiganeni kwenye GTA au call of duty, na china ajiandae kabisa
Usiku nilikua nasikiliza speech yake jamaa anajiamini sana