Mike Moe
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 319
- 335
Habari za muda huu ndugu zangu naomba kufahamishwa kama kuna mtu alishawahi kufanya interview za electrical technician utumishi tusaidiane namna ya maswali yanavyokuja katika interview zote tatu written, practical and oral
Au pia kwa mtu yeyote mwenye uelewa na interview hizo ruksa kushare knowledge
Au pia kwa mtu yeyote mwenye uelewa na interview hizo ruksa kushare knowledge