Kwa mliopo Mwanza, naangalia uwezekano huu nanyi mpate faraja

Hivi yule mkalimani wa taifa hayumo humu asee??
C fursa hii kutoka kwa bilionea
 
Asante kwa taarifa mnyonge mwenzetu...
Wengi Wanao Jifanya Kulia Lia eti Shujaa Wa Chato alikua ni Mtetezi wa Wanyonge. Wengi Wao ni Watu wenye Roho za Kimasikini waliokua Wakishangilia Matajiri wakiporwa Mali zao na Kumbikiwa Kesi za Ukwepaji Kodi. Walitamani Matajir Waish kama Maisha Wanayoish wao Roho za Kimasikin
 
Wala hujakosea mkuu
 
Sawa tajiri tumekusikia tutakufikia. Tunashukuru sana. Il sisi wengine huwa tunakunywa Kuluewa ili tusahau raha pia. So sI kila anayelewa anasahau shida

Kuna cousin wangu anasoma saut Nikuunganishe naye?anafahamu kiinglishi,kiswahili na kifaransa. Ana akili na ni pisi kali kinyama.... Nadhani anaweza kukufaa...
 
Mdangie aise😅
 
Kwa siku sitakiwi kukaa na Kilaza kwa zaidi ya saa moja. Falsafa ya billionea Luggie
 
Mtoa mada angalia usije kunya kitandani maana ndoto yako haina ukweli hata nukta.
 
Mtafute don Nalimison ni mmarekani yupo pande hizo atakusaidia sana
No way. Si mtu wa kutafuta watu. Yeye ndo anapaswa anitafute mimi. Anahusika na business gani? Kuwa mmarekani si sababu ya yeye kuonana nami. Kuna hata aliens nawagomea kuonana nami. Itakuwa tu huyu binadamu mmarekani
 
Hi chai hivi umeipua Sasa hivi?

6467ed720cd475a9bcb612f97c479973.png
 
Back
Top Bottom