Kwa Mliosoma Masters in Project Planning and Evaluation

Andrew Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
330
Reaction score
117
Wakuu poleni kwa majukumu. Wadau mliosomea hiyo kozi naomba mtusaidie kwenye ajira soko likoje. Mimi nimesoma Bed Arts, kazi nimefanya miaka mitatu. Naomba ushauri wenu, je nikasome hiyo kozi? Lengo langu nitoke kwenye ualimu.
Natanguliza shkrani.
 
Nimesoma course hiyo ikiwa na mjumuiko na msendeleo ya jamii nakushauri kwa course yeyote soma ukilenga kujiajiri achana na kungoja ajira maana natambua utakua mwalimu( bed art) tumia kama mtaji wako kujiajiri
 
asante kwa ushauri Wako. Ni kweli nalenga kupata kozi ambayo nitaweza kujiajiri kwa urahisi , la wazo lililonijia Ni project planing. Unanishauri nikasomee nini kwa masters?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…