Wakuu poleni kwa majukumu. Wadau mliosomea hiyo kozi naomba mtusaidie kwenye ajira soko likoje. Mimi nimesoma Bed Arts, kazi nimefanya miaka mitatu. Naomba ushauri wenu, je nikasome hiyo kozi? Lengo langu nitoke kwenye ualimu.
Natanguliza shkrani.
Natanguliza shkrani.