Kwa mliowahi kufanya biashara ya workshop ya aluminium

oladipo

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2022
Posts
1,885
Reaction score
3,305
Wakuu habari za jioni?

Samahanini kwa usumbufu nilikuwa naomba kujua mchanganuo wa hii biashara uko vipi? Je ni biashara ambayo bado inalipa au ishakuwa saturated?

Nauliza hivyo coz kuna jamaa anahama mkoa kikazi anataka kuniuzia workshop yake na mimi sina abc za hii biashara.

Nitashukuru kama nitapata muongozo kidogo wa hii biashara. Ahsanteni
 
Nadhani yeye binafsi angekupa abcd zote jinsi biashara ilivyo
 
Nadhani yeye binafsi angekupa abcd zote jinsi biashara ilivyo
Amenipa baadhi ila si unajua mambo ya biashara inaweza kuwa anavutia kwake ndio maana nimekuja hpa
 
Unaifanyia wapi hiyo biz.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Fanya research ya fasta Kwa majirani wenye buashara kama hiyo pia angalia sababu za kuuziwa kama hazina uhusiano na kudorora Kwa biashara chukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…