Wakuu habari za jioni?
Samahanini kwa usumbufu nilikuwa naomba kujua mchanganuo wa hii biashara uko vipi? Je ni biashara ambayo bado inalipa au ishakuwa saturated?
Nauliza hivyo coz kuna jamaa anahama mkoa kikazi anataka kuniuzia workshop yake na mimi sina abc za hii biashara.
Nitashukuru kama nitapata muongozo kidogo wa hii biashara. Ahsanteni