Smart Technician
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 653
- 824
Ndio mara ya kwanzaUmejaza form namba 14b ambayo sio sahihi, ingia tena download form sahihi nadhani ni ya 6 katika list ya forms hiyo ndio 14b sahihi.
Bila shaka ndio mara ya kwanza kusajili kampuni.
SawaImenichukua miezi 5 kifanikisha usajiri, jamaa ni wasumbufu sijawahi kuona, kutoa maelekezo shida, kupokea simu ni shida, ili ufanikishe ni vyema ukampata mzoefu akufanyie bila hivyo utasumbuka sana, na inabidi usiwe na haraka.
Hizo hatua zote ulifanikisha mwenyewe? Ni vitu gani vingine nnavotakiwa kuzingatia ili nisikosee sanaImenichukua miezi 5 kifanikisha usajiri, jamaa ni wasumbufu sijawahi kuona, kutoa maelekezo shida, kupokea simu ni shida, ili ufanikishe ni vyema ukampata mzoefu akufanyie bila hivyo utasumbuka sana, na inabidi usiwe na haraka.
Mpaka tuwe wote kwenye system ya brela ni ngumu mtu kukuelekeza hapa, jaribu kutafuta mawakili karibu wote wanajua na hela ndogo tuHizo hatua zote ulifanikisha mwenyewe? Ni vitu gani vingine nnavotakiwa kuzingatia ili nisikosee sana
SawaMpaka tuwe wote kwenye system ya brela ni ngumu mtu kukuelekeza hapa, jaribu kutafuta mawakili karibu wote wanajua na hela ndogo tu
Nione nikuhudumieNdio mara ya kwanza
Shida ya watz awajui kucheza na fursa ukapata kitengo cha kuongea kupokea simu za wateja Mungu akupe nini sasa,Mimi ningeomba kabisa nilale na simu hata nyumbani yaani ndio ofisi yangu 24hrs napokea simu.Sasa urefu wa kamba upi uutakao zaidi ya huo tena.Ningekuwa consultant kabisa kuwasaidia watu wapate huduma kwa haraka zaidi.Watz sio wa kujiongeza kabisa kwenye customer service ndo pesa ipo.Imenichukua miezi 5 kifanikisha usajiri, jamaa ni wasumbufu sijawahi kuona, kutoa maelekezo shida, kupokea simu ni shida, ili ufanikishe ni vyema ukampata mzoefu akufanyie bila hivyo utasumbuka sana, na inabidi usiwe na haraka.
Mkuu ukisha sajili kampuni naomba uniajiri kijana wako,nina BA ya MARKETING, ubarikiweHabari.
Kwa wale mliofanikiwa fungua kampuni brela mlifanyaje kwenye hii form 14b brela wamenipa maelekezo niitoe hio form. Lakini kila nkiitoa system inagoma kuendelea mbele. Inasema form 14b is required. Na namna ya kuwapata imekua ngumu. Comment walionipa hii hapa
Remove for 14b for beneficial owner, that form should be submitted after having obtain incorporation number.
Je mlitumia mbinu gani hapa mkafanikiwa?View attachment 2139448
Tuombe nifanikiwe sajiri na mtaji ukue niweze ajiriMkuu ukisha sajili kampuni naomba uniajiri kijana wako,nina BA ya MARKETING, ubarikiwe
Mbona kila mda linaibuka jambo jipya comment nyingi mno wanatoaUkifuata hatua zote kwa usahihi na ukaandaa documents vizuri siku 3, zoezi linakuwa limeisha.
Mbona nlishaanza saiz narekebisha comment wanazotoaNione nikuhudumie
Mkuu unaweza kutafuta wateja? Au marketing yako unaifanyaje?Mkuu ukisha sajili kampuni naomba uniajiri kijana wako,nina BA ya MARKETING, ubarikiwe