Kwa mliowahi kusajili kampuni brela online

Smart Technician

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
653
Reaction score
824
Habari.
Kwa wale mliofanikiwa fungua kampuni brela mlifanyaje kwenye hii form 14b brela wamenipa maelekezo niitoe hio form. Lakini kila nkiitoa system inagoma kuendelea mbele. Inasema form 14b is required. Na namna ya kuwapata imekua ngumu. Comment walionipa hii hapa

Remove for 14b for beneficial owner, that form should be submitted after having obtain incorporation number.

Je mlitumia mbinu gani hapa mkafanikiwa?
Screenshot_20220305-013642_1.jpg
 
Umejaza form namba 14b ambayo sio sahihi, ingia tena download form sahihi nadhani ni ya 6 katika list ya forms hiyo ndio 14b sahihi.

Bila shaka ndio mara ya kwanza kusajili kampuni.
 
Imenichukua miezi 5 kufanikisha usajiri, jamaa ni wasumbufu sijawahi kuona, kutoa maelekezo shida, kupokea simu ni shida, ili ufanikishe ni vyema ukampata mzoefu akufanyie bila hivyo utasumbuka sana, na inabidi usiwe na haraka.
 
Umejaza form namba 14b ambayo sio sahihi, ingia tena download form sahihi nadhani ni ya 6 katika list ya forms hiyo ndio 14b sahihi.

Bila shaka ndio mara ya kwanza kusajili kampuni.
Ndio mara ya kwanza
 
Imenichukua miezi 5 kifanikisha usajiri, jamaa ni wasumbufu sijawahi kuona, kutoa maelekezo shida, kupokea simu ni shida, ili ufanikishe ni vyema ukampata mzoefu akufanyie bila hivyo utasumbuka sana, na inabidi usiwe na haraka.
Sawa
 
Hizo hatua zote ulifanikisha mwenyewe? Ni vitu gani vingine nnavotakiwa kuzingatia ili nisikosee sana
 
Mpaka tuwe wote kwenye system ya brela ni ngumu mtu kukuelekeza hapa, jaribu kutafuta mawakili karibu wote wanajua na hela ndogo tu
 
Imenichukua miezi 5 kifanikisha usajiri, jamaa ni wasumbufu sijawahi kuona, kutoa maelekezo shida, kupokea simu ni shida, ili ufanikishe ni vyema ukampata mzoefu akufanyie bila hivyo utasumbuka sana, na inabidi usiwe na haraka.
Shida ya watz awajui kucheza na fursa ukapata kitengo cha kuongea kupokea simu za wateja Mungu akupe nini sasa,Mimi ningeomba kabisa nilale na simu hata nyumbani yaani ndio ofisi yangu 24hrs napokea simu.Sasa urefu wa kamba upi uutakao zaidi ya huo tena.Ningekuwa consultant kabisa kuwasaidia watu wapate huduma kwa haraka zaidi.Watz sio wa kujiongeza kabisa kwenye customer service ndo pesa ipo.
 
Habari.
Kwa wale mliofanikiwa fungua kampuni brela mlifanyaje kwenye hii form 14b brela wamenipa maelekezo niitoe hio form. Lakini kila nkiitoa system inagoma kuendelea mbele. Inasema form 14b is required. Na namna ya kuwapata imekua ngumu. Comment walionipa hii hapa

Remove for 14b for beneficial owner, that form should be submitted after having obtain incorporation number.

Je mlitumia mbinu gani hapa mkafanikiwa?View attachment 2139448
Mkuu ukisha sajili kampuni naomba uniajiri kijana wako,nina BA ya MARKETING, ubarikiwe
 
Back
Top Bottom