Kwa mliowahi kusajili kampuni brela online

Kwa mliowahi kusajili kampuni brela online

Kwanz fanya kitu inaitwa name reservation, ili uwe na uhakika wa jina kukubalika

Pili eakishakubali utapewa control number kulipia kama laki 5 na arobaini hivi.
Business name 540,000/=??????????
 
Hivi mtu akisajili BUSINESS NAME,hawezi akaendelea na biashara husika,endapo biashara hiyo haimlazimu kuwa na ofice room,mfano myu akisajili BUSINESS NAME ya courrier
 
Halafu brela katika kipindi Cha miaka walikuwa utuma maombi yanafanyiwa kazi ndani siku kwa miez 1 Hadi washarudi kwenye biashara binafsi kusimamia hakai ofisi kabisa kwa kila anafanya biashara zake wahusika wafatilie brela watu watuma maombi yanachukua mda Sana kujibiwa
 
Back
Top Bottom