Nyota nne ustelingi wake ni mlaini, nyota 1 ustelingi wake ni mgumu. Shughuli ni mashamba maeneo ya simiyu hadi kondoaTractor inategemea unaihitaji kwa kazi gani na upo maeneo gani.Sijaelewa uaposema Nyota 4 lakini kama ni four wheel drive nakushauri haya yafuatayo,
1.Kama unategemea kutumia katika mashamba kama ya mpunga 4x4 ni nzuri hasa Swaraj 855 (kwa aina ulizotaja)
2.Kama unaishi maeneo ambayo ardhi ni kichanga na inalimika kwa urahisi Swaraj 744 hata ya 2 inafaa zaidi.
Ukinunua 4x4 ukumbuke ya kuwa bill ya tyre itakuwa kubwa kuliko ukitumia ya tyre 2.

Kama ulishawahi kumiliki au unamiliki, ni trekta ipi nzuri