Kwa mliowahi na mnaomiliki trekta, ipi trekta nzuri na kali kati na hizi, swaraj 855 nyota 4, 744 nyota 4 na swaraj 744 nyota 1.

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Amani iwe nanyi,

Siku chache zijazo nina mpango wa kwenda kununua trekta mpya aina ya swaraj. Kama ulishawahi kumiliki au unamiliki, ni trekta ipi nzuri kati ya swaraj 855 nyota 4, swaraj 744 nyota 4 na swaraj 744 nyota 1. Nisaidieni uzoefu.

Karibuni kwa uzoefu wenu.
 
Tractor inategemea unaihitaji kwa kazi gani na upo maeneo gani.Sijaelewa uaposema Nyota 4 lakini kama ni four wheel drive nakushauri haya yafuatayo,
1.Kama unategemea kutumia katika mashamba kama ya mpunga 4x4 ni nzuri hasa Swaraj 855 (kwa aina ulizotaja)
2.Kama unaishi maeneo ambayo ardhi ni kichanga na inalimika kwa urahisi Swaraj 744 hata ya 2 inafaa zaidi.
Ukinunua 4x4 ukumbuke ya kuwa bill ya tyre itakuwa kubwa kuliko ukitumia ya tyre 2.
 
Matrekta ya kihindi nn haya si ununue massey fegurson uachane na stress
 
Tractor inategemea unaihitaji kwa kazi gani na upo maeneo gani.Sijaelewa uaposema Nyota 4 lakini kama ni four wheel drive nakushauri haya yafuatayo,
1.Kama unategemea kutumia katika mashamba kama ya mpunga 4x4 ni nzuri hasa Swaraj 855 (kwa aina ulizotaja)
2.Kama unaishi maeneo ambayo ardhi ni kichanga na inalimika kwa urahisi Swaraj 744 hata ya 2 inafaa zaidi.
Ukinunua 4x4 ukumbuke ya kuwa bill ya tyre itakuwa kubwa kuliko ukitumia ya tyre 2.
Nyota nne ustelingi wake ni mlaini, nyota 1 ustelingi wake ni mgumu. Shughuli ni mashamba maeneo ya simiyu hadi kondoa
 
Attachments

  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    44.5 KB · Views: 12
  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    40.4 KB · Views: 14
Back
Top Bottom