M Mrlee Member Joined Aug 31, 2017 Posts 5 Reaction score 3 Jun 24, 2020 #1 Ni mashine nimezikuta kwa ndugu yangu, zinaonekana kama moja mchele na nyingine ya mahindi, niweze kutumia kwa utaratibu upi ili nijiingizie kipato.
Ni mashine nimezikuta kwa ndugu yangu, zinaonekana kama moja mchele na nyingine ya mahindi, niweze kutumia kwa utaratibu upi ili nijiingizie kipato.
nessonlegend JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 1,698 Reaction score 1,512 Jun 24, 2020 #2 Pole mkuu, jiongeze. Inamaanisha huzijui wala hujawahi kufikiria kuhusu hizo mashine. Fanya kile unachofikiria.
Pole mkuu, jiongeze. Inamaanisha huzijui wala hujawahi kufikiria kuhusu hizo mashine. Fanya kile unachofikiria.
M Mrlee Member Joined Aug 31, 2017 Posts 5 Reaction score 3 Jun 24, 2020 Thread starter #3 nessonlegend said: Pole mkuu, jiongeze. Inamaanisha huzijui wala hujawahi kufikiria kuhusu hizo mashine. Fanya kile unachofikiria Click to expand... Sawa
nessonlegend said: Pole mkuu, jiongeze. Inamaanisha huzijui wala hujawahi kufikiria kuhusu hizo mashine. Fanya kile unachofikiria Click to expand... Sawa
Damian J Ntundagi JF-Expert Member Joined Jun 28, 2017 Posts 1,652 Reaction score 2,355 Jun 24, 2020 #4 Mbona hazina mota.