Kwa mnao fahamu hizi mashine za nafaka,Nizitumie vipi niweze kujiingizia kipato?

Kwa mnao fahamu hizi mashine za nafaka,Nizitumie vipi niweze kujiingizia kipato?

Mrlee

Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
5
Reaction score
3
Ni mashine nimezikuta kwa ndugu yangu, zinaonekana kama moja mchele na nyingine ya mahindi, niweze kutumia kwa utaratibu upi ili nijiingizie kipato.

20200624_151545.jpg
 
Pole mkuu, jiongeze. Inamaanisha huzijui wala hujawahi kufikiria kuhusu hizo mashine. Fanya kile unachofikiria.
 
Back
Top Bottom