Kwa mnaoeneza uzushi dhidi ya kijana wa Kitanzania aliyeuawa na Hamas

Tuna laani mauwaji yanayoendelea huko palestina na Israel au tumepanic kwa kuwa majanga yamemkuta mtanzania mwenzetu.???

Tuache double standard.!
To be honest na wao pia hawajali sana majanga yakitupata. Anzia nyumbani kwako kwanza ndo usumbuke na wengine
 
Sifurahii mauaji ya raia yeyote yule asiye na hatia na aliyejisalimisha, lakini acha tu Netanyahu awashikishe adabu.

Mbwa nyie 🖕
All this time I thought you had a progressive mind, yaani unafurahia vifo vya watoto wa palestina? Aisee tusione mnalialia humu sijui blacklivesmatter, naona hamuelewi bado madhara ya Apartheid.
 


Mbona umemvamia jamaa na lugha chafu kihivi? Naelewa kuwa labda amekuwa na hypocrisy ya kiaina flani kama alitetea watu waliouawa kipindi JPM alipokuwa madarakani. However, sijui kama unamjua personally kiihiivyo lakini yeye kuwa na miaka 44 bila mtoto wa kusingizia inasaidia vipi katika kutetea hoja yako ndugu yangu? Yeye ameanzisha uzi kukemea watu wanaoleta nadharia za njama ili kuhalalisha kifo cha yule kijana. That's it. Ni sawa na kumkemea mtu anaetumia kifo cha Joshua Mollel as much as it hurts na inavyoniuma kuhalalisha mauaji ya halaiki yanayodaiwa kufanywa na IDF. Personal attacks hazisaidii chochote.
 
Mollel kaponzwa kwa kuvaa bukta ya kijeshi unavaaje nguo za kijeshi kwenye risk area kama Ile.
Kama hakuwa mamluki wa IDF basi hakupata elimu ya kutosha kuhusu mavazi usivae nyakati za hatari.
Kumbuka wale Wana hasira ndugu zao wameuliwa na IDF umevaa nguo za kijeshi anakuelewa nani pale na hawana kiongozi.
Ndo yaliyomkuta Gadaff wengine wanapiga simu kwa viongozi wao mwingine kamchomoa bastola kashuti.
Hata kwa mollel hivyo hivyo kabla ya majadiliano mwingine keshachomoa silaha amalize
 
Tunaaminije kama wale ni HAMAS nasio Israel ambao wako tayari kufanya lolote lile kuhadaa ulimwengu?.
Kama hauamini na wewe ni miongoni mwa hao wanaozungumzwa na mleta Uzi. In short, kama sehemu ya malipo ya mauaji ya Watanzania wasio na hatia, ACHA MBWA HAO( HAMAS) wapelekewe moto wa Kifuu
 
Kama hauamini na wewe ni miongoni mwa hao wanaozungumzwa na mleta Uzi. In short, kama sehemu ya malipo ya mauaji ya Watanzania wasio na hatia, ACHA MBWA HAO( HAMAS) wapelekewe moto wa Kifuu
Baba wa mtoto anakuambia yule wakwenye vidio sio mwanae, unazungumziaje hilo.
 
Wanapoua huongea vitu vyakidini inamaana dini inasapoti mauaji hayo sivyo? Mambo zadini tuwe tunapima!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…