Kwa mnaoeneza uzushi dhidi ya kijana wa Kitanzania aliyeuawa na Hamas

Tangu msemaji wa kidigitali wa Netanyahu alivyotweet anasherekea hospitali kulipuliwa alivyoona dunia inalaani akafuta fastarfaster kisha wakabadilisha story kuwa Hamas ndio wamelipua hospital yao wenyewe siaminj kitu kuhusu hivi vita ambavyo huwa vinamikono ya wamiliki wa mainstream media duniani.

Ukweli ni kwamba, Kijana alikiwa hai na sasa amekufa katikati ya mgogoto wa Israel na Hamas. Kufukuafukua na kuchambuachambua kila kitu sio sawa sana.
 
Seriously wanakera sana, ajabu wengi wao huwa wanajiita wadai haki, kumbe hizo haki wanazolilia siku zote ni zile ambazo wanazidai kwa wale wasio na interest nao, lakini akitokea mwenye interest nao akawanyima haki wengine wanaamua kumlinda kwa namna yoyote, wanafiki wamekuwa wengi sana.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Acha ushamba we ngosha!!!!nan kathibitisha kuwa wale ni Hamas
 
Msiende sehemu za vita au zenye mizozo ambapo mapigano yanaweza kutokea wakati wowote. Baadae inakua msiba kwa walio na wasio kuwamo.
Hizi video zote za sasa si za kuamini 100% yeyote anaweza kutengeneza na kuweka sauti anayotaka.
Ikiwa kauwawa na Hamas au Israel yeye hakua mkusudiwa lakini amekua pahali na time mbaya kwake.
Poleni wanafamilia
 
Kijana ameuwawa katikati ya machafuko, Hamas walipovamia Israel mission yao ilikuwa kuteka na kuua, wameua na kuteka waisrael na wasio waisrael.

Israel imeingia Gaza kuwasaka Hamas japo pia wanaua Hamas na wasio Hamas.

Kifupi lile eneo Palestina na Israel ni No go zone, watu waambiwe na ukienda basi kwa risk yako mwenyewe maana lolote linaweza kutokea wakati wowote..

Tupaze sauti wote kwa pamoja suluhu ya mgogoro wa Israel na Palestina ipatikane ili wote waishi kwa amani kama ilivyopatikana suluhu ya maeneo mengine mfano East Timor vs Indonesia..
 
Ni wajinga wajinga tu hao wenye akili kama manyumbu. Kila nikifikiria ile video na jaa na hasira.
 
Netanyahu abarikiwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…