Kwa mnaoeneza uzushi dhidi ya kijana wa Kitanzania aliyeuawa na Hamas

Hata haya huoni
Acha ushabiki wa kijinga
Uwe na ubinadamu na huruma basi
Roho mbaya na wee gaidi tu
 
Makasiriko on steroids,Ngabu amewasema baadhi ya waislam wanaopotosha habari za kijana wetu kuuawa na Hamas. Why wanafanya hivyo? Wewe una generalize kwamba Ngabu katupa jiwe kwa waislam wote . Soma between the lines.
Sisi kiswahili tunakijua vizuri unavyosema imani ya kiislamu ya hovyo sana hua ana amanisha nini
 
Sisi kiswahili tunakijua vizuri unavyosema imani ya kiislamu ya hovyo sana hua ana amanisha nini
Hao wa namna hiyo ndio wale wanaoitwa wenye imani kali na Ngabu inaelekea ni mmoja wao !
Maana uzi wake ameanza na Maneno makali yenye kashfa !!
Lakini ni kumsamehe bure kwa kuwa hao wa hivyo wapo dini zote !
Mindset zao zipo hivyo !! 🙏🙏
 
Waislamu baadhi wa humu JF wameonyesha dhahiri kuwa ni magaidi wa kuogopwa.
 
Tatizo kuna wapumbavu wengi hapa nchini wakristo kwa waislam wanashabikia sana masuala ya ugaidi.
 
Mimi RC ila nimeshaongea na sheikh ijumaa naenda kusilimishwa na jina nimeshachagua yule jamaa wa Yemen Houthi. Siwezi kujiita mkatoliki huku papa anasema ruksa kufanyana kinyume na kanisa litabariki.
Siyo Mkatoliki wewe ni pretender tu Mkatoliki halali hawezi kuwa shoga hata siku moja.
 
Hakika
 
Ndio maana nakimbia sitaki kuwa shoga.
Safisha nafsi yako ushoga upo kwenye mioyo ya wapumbavu hata wanyama hawafanyi kasoro mbuzi na nguruwe ushoga kwao ni halali.Ukiona mtu anapenda sana ushoga ujue mama yake mzazi alikuwa anampa maziwa ya mbuzi au ya nguruwe.Mtu aliyenyonya maziwa ya mama(binadamu) atafanyaje ushoga wakati anajitambua kuwa yeye hastahili kuingiliwa na mwanaume mwenzie?
 
Sisi kiswahili tunakijua vizuri unavyosema imani ya kiislamu ya hovyo sana hua ana amanisha nini
Siwezi kumsemea lakini kwa maoni yangu ni kwamba kumekuwa na pattern ya baadhi ya waislam (wengi) kufumbia macho au kusapoti ubaya ambao unafanywa na watu/viongozi au taasisi zenye mrengo wa kiislam.
 
Tuna laani mauwaji yanayoendelea huko palestina na Israel au tumepanic kwa kuwa majanga yamemkuta mtanzania mwenzetu.???

Tuache double standard.!
 
😆
The irony is hata angekuwa Rashid hata sisi non Muslims aka infidels (not all) tungekuwa na huruma by virtue of patriotism. Asante kwa kuniongezea neno kwenye vocabulary. Calumny
 
Ndugu, mtoa hoja kasema sio waislamu wote which is true japo ni minority. Kinachokera ni mtu anakuja JF anatoa conspiracy kusema alikuwa mgambo na kudanganya therefore anastahili kufa. Anyway, lile eneo ni mgogoro miaka nenda rudi, hilo linaeleweka. Lakini kumtoa uhai ndugu yetu is barbaric. Mi nilikuwa Sina upande ila video imeniita
 

Nyani Ngabu (NN)my dear, I hope you're having a good laugh .

naona umefanya watu humu wameanza kuongelea siri zao za ndani.
 
Nakazia mbwa nyie....
Netanyahu fanya yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…