Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Habari zenu wanajamvi, kama nilivosema
Nahitaji vifaa jenzi used lakini vilivyo katika hali nzuri kama vile bati za migongo mipana, nondo ml.12, gypsum, tofali n.k
Kwa bomoa bomoa inayoendelea kariakoo vitu hivyo vinaweza kupatikana kwa bei rahisi naomba mwenye connection ani-pm au aweke hapa tupate kujua machimbo
Ahsanteni