Humu utaishia kuitwa pm ugeuzwe fursa ufursike kwa nini usiingie front kariakoo wewe mwenyewe? na uzingatie hili kariakoo udalali upo kwenye kila kitu so makinika🤣😂Habari zenu wanajamvi, kama nilivosema
Nahitaji vifaa jenzi used lakini vilivyo katika hali nzuri kama vile bati za migongo mipana, nondo ml.12, gypsum, tofali n.k
Kwa bomoa bomoa inayoendelea kariakoo vitu hivyo vinaweza kupatikana kwa bei rahisi naomba mwenye connection ani-pm au aweke hapa tupate kujua machimbo
Ahsanteni
Mkuu bila connection pale hutoboi utaamuliza nani watu wako site si utaonekana mwizi au wale mafundi wataonekana ni wezi kumbuka site maboss wanakuwepoHumu utaishia kuitwa pm ugeuzwe fursa ufursike kwa nini usiingie front kariakoo wewe mwenyewe? na uzingatie hili kariakoo udalali upo kwenye kila kitu so makinika🤣😂
Kuna kipi kinaendelea?Kariakoo sahivi ya moto sana ni kibomoa jenga kila sehemu..
Ni hatari sana yale material wanayobomoa naweza kujengea nyumba kali kwa gharama nafuu kabisa maana magorofa mengine yanayobomolewa ni mapya kabisa hata ujenzi ulikuwa bado kukamilikaKariakoo sahivi ya moto sana ni kibomoa jenga kila sehemu..
kuna sehemu hapo kariakoo nimeona mirunda mingi ni balaaaa aisee watu wanajenga maghorofa buana...Ni hatari sana yale material wanayobomoa naweza kujengea nyumba kali kwa gharama nafuu kabisa maana magorofa mengine yanayobomolewa ni mapya kabisa hata ujenzi ulikuwa bado kukamilika