OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ndoa yangu ina umri wa mwaka na nusu sasa,na kubarikiwa mtoto mmoja mzuri na ana mwaka mmoja sasa.
Changamoto ni majukumu yangu na ya mke wangu kututenganisha.Wote ni waajiriwa,though ni within a region ila sio siri inanipa tabu sana,nakosa mapenzi ya ndani.
Mda mwingi na simu,akiacha kunipigia chini ya mara tatu kwa siku naumia nakosa raha.
Naamini tupo wengi ambao wapenzi wetu wapo mbali,em jamani tutiane moyo jinsi ya kuishi haya maisha