Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
mapenzi siyo misemo, nahau wala picha. kwani watu hizo picha wamezibandika sana ktk kuta za sebule za nyumba zao lakini kuchepuka kwao ni kama kifo na binadamu. tumwambie tu ukweli mwenzetu kuwa cha kufanya yeye afanye tu kazi ili ajijenge kimaisha lakini kwa masuala hayo ya mapenzi na mkewe 90% lazima tu mkewe atakuwa anachepuka ili kukidhi haja yake ya kibaiolojia na ktk hili tusiwe wanafiki.
Mliozaliwa 90s hamuwezi kuelewa kwamba zamani kulikuwa na upendo wa dhati...