OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ndoa yangu ina umri wa mwaka na nusu sasa,na kubarikiwa mtoto mmoja mzuri na ana mwaka mmoja sasa.Changamoto ni majukumu yangu na ya mke wangu kututenganisha.Wote ni waajiriwa,though ni within a region ila sio siri inanipa tabu sana,nakosa mapenzi ya ndani.Mda mwingi na simu,akiacha kunipigia chini ya mara tatu kwa siku naumia nakosa raha.Naamini tupo wengi ambao wapenzi wetu wapo mbali,em jamani tutiane moyo jinsi ya kuishi haya maisha
Distance not a factor when two heart truly love each other
Acha kuendekeza mapenzi,wenzio tuko new york na wapenzi wetu wako bongo na hakuna presha yoyote.
Tembea na hili neno..
punguza wivu,kama akiamua kugongwa atagongwa na hutojua,we dili na mambo ya msingi kaka,wanawake wa siku hizi si kama enzi za mama zetu
Distance not a factor when two heart truly love each other
Mkuu fanya kazi usiwaze sana mkeo utaichukia kazi bure naye atakuacha ukiwa huna kazi.
naomba kuuliza hivi hii misemo yenu na hisia za kibaiolojia za kibinadamu zinahusiana vipi ili kuweza kuwafanya wapendanao wasichepuke?