Kwa mnaoishi mbali na wake zenu,Nitieni Moyo

Mliozaliwa 90s hamuwezi kuelewa kwamba zamani kulikuwa na upendo wa dhati...
 
Hahahaha we sio naniliu wewe leo tulikuwa wote kwenye training kwel na umetoka kwa mkeo asubuh hii 😂😂😂
 
Yan kila nkifikiria mtu kumpanda mke wangu hua nnaumia sana, Yan kufikiria tuu nnaumia mno yan!! I feel u mtoa post, We find it so hard yan!!! Sasa kitu kuchapiwa na ukathibitisha na manze unamwelewa Wallah Roho yaweza Acha mwili, Back to the point, Inauma ndio lakin la msingi ni kutafuta Pesa kwanza na kuwasiliana Mara nyingi zaidi inapunguza sana hofu, Pia muombe Mungu mkuu Maaana Mke noma sana, Wivu ukizidi nao hahaha utataman uwe unafanya kaz na yy kasimama Pembeni Lmao
 
haaa kumbe sehemu mmoja bora ingekuwa mikoa tofauti au nchi....hapa sasa hakuna haja ya kukushauri
 
punguza wivu,kama akiamua kugongwa atagongwa na hutojua,we dili na mambo ya msingi kaka,wanawake wa siku hizi si kama enzi za mama zetu

Roho imeniuma kusoma ushauri wako, kwani namie wife yupo mbali likizo nikila baada ya siku 56 ndo tunaonana!!
 
Kuna mfanyakazi mwenzetu mme wake yuko mbali nae anagongesha kama hana akili nzuri.hata bodaboda anayemleta kazini anagonga.habari ndo hiyo wanawake ni dhaifu mno.
 
Mhasibu ndoa yako inaendeleaje?
 
Wewe si unasemaga ni kataa ndoa kumbe ndoa ulikuwa nayo?

Haya, ilikuwaje?
 
Hahaha
 
☎☎☎Haki ya kufanya mapenzi na mkeo na sio malaya wala mchepuko☎☎☎

☎☎☎Haki ya kufanya mapenzi na mkeo na sio malaya wala mchepuko☎☎☎

☎☎☎Haki ya kufanya mapenzi na mkeo na sio malaya wala mchepuko☎☎☎

☎☎☎Haki ya kufanya mapenzi na mkeo na sio malaya wala mchepuko☎☎☎

☎☎☎Haki ya kufanya mapenzi na mkeo na sio malaya wala mchepuko☎☎☎

☎☎☎Haki ya kufanya mapenzi na mkeo na sio malaya wala mchepuko☎☎☎

☎☎☎Haki ya kufanya mapenzi na mkeo na sio malaya wala mchepuko☎☎☎

☎☎☎Haki ya kufanya mapenzi na mkeo na sio malaya wala mchepuko☎☎☎

Kuna mfanyakazi mwenzetu mme wake yuko mbali nae anagongesha kama hana akili nzuri.hata bodaboda anayemleta kazini anagonga.habari ndo hiyo wanawake ni dhaifu mno.
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…