Kwa mnaosoma au mliosoma udsm,naomba mnijibu haya maswali!!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
1)direct cost inayotakiwa ilipwe ni bei gan?
2)ukiandikiwa no loan,unatakiwa uende na shiling ngap kama kianzio cha tution fees.
3)bei ya msoc ni shilling ngap(namaanisha msoc wa kawaida na sio burger)
4)vipindi vya darasan huwa vinaanza saa ngap na kuisha saa ngap?
5)hali ya hewa ya dsm kwa kipind hki ikoje ili tusije tukaacha makoti home kumbe kuna winter huko?
6)nikifika chuon na mabegi yangu,naanzia kureport kwa nan kabla ya kuendelea na zoezi la registration?
7)ikitokea nikakosa rum chuon,huko kitaa rum znapatkana kwa bei gan{nazungumzia rum yenye maji na umeme}
8)mavazi gani yanayoruhusiwa hapo na yasiyoruhusiwa?
9)sisi tunaotoka mikoani,tukiisha shuka stand kwa cku hyo 2talala guest house au kuna utaratibu wa kulala chuo kwa cku hyo?
10)kati ya cumpus na mabibo hostels,wapi pazuri kwa kuishi?
 
Wewe umefauru kweli vizuri mitihani yako ya form VI? UDSM ilinzishwa karibu miaka 50 iliyopita na kumekuwa na mabadiliko mengi sana. Sasa uoni kama swali lako upande wa waliomaliza unamuuliza mpaka Samwel Sitta, Jaji Warioba, JK, Tundu Lissu! Weka swali lako vizuri ukizingatia muda i.e. uliza waliomaliza recently say this year or past two to three years!

Swali lako ni sahihi kabisa kwa wanaoendelea au waliomaliza recently.
 

asa mkuu,kama wewe unajijua umemalza recently,kwa nin ucnijbu 2 kuliko kuleta maneno ya dhihaka humu?
 

2. Inategemea na ada halisi ya kozi yako kimsingi ili usome kwa furaha lipa nusu ya ada yako kwa sababu unaruhusiwa kulipa kwa installment.
3.approx 1000-2000. varieties such as rice,ugali na kitoweo. chai sijui bei yake niliacha kunywa ili ni survive semester yote.
4. kuanzia saa 1asubuhi mpaka 2usiku. ila sio kama sec.school bandika bandua!! unaweza kuwa na vipindi au kipindi 1-6 including seminars inategemeana ratiba ya kozi zako simekaa vp!!!
5. Haina haja ya kozi labda kama unatatizo la kiafya na mambo ya personality has no weather.
6.acha mabegi sehemu utakayo kuwa umelala gesti,hotel,ndugu sio stand. beba vyeti na doc. kama pay inslip...ukifika chuo utaratibu uko poa, ratiba itakuongoza.
7. kitaa inategemea kitaa gani upo na hadhi ya room ukiachia mbali maji na umeme. swala la maji Dar is unpredictable..kunaweza kukawa na bomba nje kwa ajili ya kufungia mbuzi au kuanikia raba moja!!
8.hamna dressing code hapa, lakini wewe ni mtu mzima therefore unatakiwa kuvaa mavazi yenye staha. japo neno staha kipimo chake ni subjective sana especially kama hakuna dressing code.
9.YEAH, UTALALA GUEST andaa pesa ya kutosha ili ikusaidie ukiwa unakamilisha mambo yako mengine.
10. subjective........kwangu mimi mabibo ni poa kwa sababu..huduma kama stationary services ni kibao, sehemu za kula, toilets, ofcourse na company ni kubwa!! na pia wingi wa watu unakupa changamoto ambazo you can learn alot na ukapata experience ya kuishi sehemu zingine.
KARIBU UDSM-NI PM KAMA HUJAELEWA.
 

bila shaka wewe unataka kubebwa !!
 

mkuu,inachukua muda gani kukamilisha hyo registration,na regstration inafanyka kwenye departments husika au kwenye nin?
 
nimekupata 4 realy we need ppl lky u!!!!
 
mkuu,inachukua muda gani kukamilisha hyo registration,na regstration inafanyka kwenye departments husika au kwenye nin?
Wiki moja tu. ukifika ratiba itakuongoza of course utapewa na ramani i hope unakumbuka kusoma ramani bado. na sio registration tu pia kuna swala la identity cards na series ya events zingine. USIWE NA WASIWASI ZINGATIA MUDA TU.na in case kuna fees unataka kulipia bank fanya hivyo ukiwa mkoan foleni huwa ni nene sana!!
 

poa poa kaka,nimekusoma!
 
Unahitaji kuwa na kitambulisho chochote au vyeti?
 
Vip utaratibu wa kupata hostel unachagua au unapangiwa kati ya main campus na mabibo
 
Vip utaratibu wa kupata hostel unachagua au unapangiwa kati ya main campus na mabibo

Utakuta umeshapangiwa either mabibo au main campus,but mabibo ni pazuri zaidi kwa mtazamo wangu...
 
bt ni kweli w2 wanavyosema lazima hivyo vyet viwe orignly na c copy au uzushi 2?

lazima viwe original,in case umepoteza original ya cheti,unatakiwa uende na copy na vile vile uwe na police notice report.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…