Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Idea nzuri, hongera sana.....🤝🤝
 
Unamuangalia mtu na ku-conclude?? Vp humphrey polepole unaujua muonekano wake? Ila kama sikosei posho yake ya ubaloz ya siku moja ni mshahara wako miaka3.
Ndugu yangu Wana wivu tu...pengine tokea azaliwe sehemu nzuri aliyo wahi kutembelea ni dar es salaam na cocobeach🤣🤣🤣​
 
Nitaandaa Uzi maalum kwaajili hiyo Wala usijali ndugu yangu... kwenye Uzi huo nitamwaga nondo zote kuanzia nauli, visa na gharama za maisha kule...!​
 
🤣🤣🤣🤣🙌 khaaaa!!!
Ila nimecheka aiseee!! Ww jamaa unazingua
 
Kuwa mwembamba ni njaa?? Unaakili ww? Akili zako zinatumika sawasawa?
January makamba mwembamba
Jerry silaa mwembamba
Hussein bashe mwembamba
Humphrey polepole mwembamba
Luhaga mpina mwembamba
IGP camilius mwembamba
Kumbe na hawa ni njaa.
Paulo Kagame wa Rwanda mwembamba, Obama wa USA mwembamba... list ni ndefu pengine yeye kwake mtu kibonge ndie mwenye Hali nzuri...🤣🤣🤣

Kinacho msumbua ni wivu tu na sio kitu kingine....!​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…