Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

All in all,
Tujifunze kumweshimu yeyote bila kuangalia muonekano au CHOCHOTE....

Kuna watu wana Dharau watu kwa kuwa fanyia assessment kua Ni duni kwa uvaaji na muonekano dhaifu

Sio vyema hata kidogo maana dakika yeyote MTU anaweza kua YEYOTE..
Wala asitutoe kwenye reli... ukipata muda wa kuja Dubai nitafute nita ku assist...!

Wamesha zoea maisha ya bongo wanazani huku ni kama huko...! Mtu ana mwaga povu huku amejificha kwenye id fake
 
All in all,
Tujifunze kumweshimu yeyote bila kuangalia muonekano au CHOCHOTE....

Kuna watu wana Dharau watu kwa kuwa fanyia assessment kua Ni duni kwa uvaaji na muonekano dhaifu

Sio vyema hata kidogo maana dakika yeyote MTU anaweza kua YEYOTE..
Kweli kabisa
Ila kuna huduma unadhifu na muonekano vina add points
 
Sikuja kutafuta shavu huku ndugu yangu...hata hivyo tokea ni zaliwe sikuwahi kunenepa huu ndio mwili wangu ninao pendezwa nao...!​
Mleta mada chukua ushauri wa wadau positively siyo lazima unenepe shavu ila weka tangazo uonekane presentable.

Picha uliyoweka unaonekana Kama dalali wa vyumba mwananyamala au Kigogo kwa wengi watakukwepa.
 
Je unawaza kwenda Dubai kibiashara...?
Je unawaza kwenda Dubai kwaajili ya KUTAFUTA kazi...?
Je unawaza kwenda Dubai kutembea...?

Kwa unae taka kwenda Dubai kwa Sababu nilizo ziainisha hapo juu solution la tatizo lako Mimi ninalo.
View attachment 3017911
Ukifikiria kwenda Dubai usiogope Tena juu ya wapi utafikia, nani atakupokea airport...na ni nani atakutembeza kupata kile utakacho kifata...!

Kwa gharama nafuu sana nitakutembeza na kukuguide kwa muda tutakao elewana.

Hivyo usiogope Tena kuja Dubai...!

Nipo DUBAI kwaajili Yako njoo Whatsapp tujadiliane Katalog von mhando auf WhatsApp ansehen

{+971581480619 Whatsapp}​
Mleta mada bila shaka utakuwa mtu wa Pwani watu wa mwambao huwa hawajali sana muonekano wao.

Ila zingatia sana comment ya kwanza hapo ya Ngurukia
 
Mleta mada bila shaka utakuwa mtu wa Pwani watu wa mwambao huwa hawajali sana muonekano wao.

Ila zingatia sana comment ya kwanza hapo ya Ngurukia
Tatizo la wabongo wengi wanapenda kusifiwa kuliko kukosolewa. Nilipoandika kuhusu muonekano wengi wamekimbilia kuwa aidha namdhihaki/kumdharau jamaa ama kunanga mwili wake.

Nahisi Mkuu umeelewa zaidi dhamira na point yangu.
 
Wazo zuri pia ni fursa nzuri, nachoweza kukushauri kwa sasa ili kuongeza kuaminika zaidi, jaribu kujisajili huko huko kama mtu anayejitegemea kuongoza wageni, baada ya hapo weka nyaraka na jitangaze utakavyoweza pamoja na gharama zako ziwe wazi.
Baada ya miezi miwili mitatu, anza kupokea oda na mapato.​
 
Back
Top Bottom