Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Watu tunakuwa rated kwa uharaka na muonekano ajitahidi kuzingatia ushauri wako utamsaidia sana.Tatizo la wabongo wengi wanapenda kusifiwa kuliko kukosolewa. Nilipoandika kuhusu muonekano wengi wamekimbilia kuwa aidha namdhihaki/kumdharau jamaa ama kunanga mwili wake.
Nahisi Mkuu umeelewa zaidi dhamira na point yangu.
Haoni hata matapeli wengi hujificha kwenye muonekano na haiba ?