Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Muonekano wako mbona kama unahitaji wa kukushika mkono na wewe mwenyewe huko Dubai, ni kama fursa zimekupitia kushoto.

Boresha muonekano wako kwanza ndio uweke tangazo. Hiyo picha yako imekaa kama wewe mwenyewe ni tatizo kuliko kuwa suluhisho. Ni ngumu mtu kukuamini.
Izi sasa Dharau kwaiyo avae suti kila sehemu
 
Wazo zuri na kazi nzuri.

Kwa MTU makini na anayetambua umuhimu wa kuwa na Afya njema huo mwili wako ndo mzuri

Hiyo first impression Kama ingekuwa Ina Masada wabongo wangekuwa wamefanikiwa .

So ni akili za watu sio za kufatisha maana they know nothing and they speaks nothing.
 
Mnaomsema mdau kiafya hivi mnafahamu washindi, wachina ,wajapani? Miili yao na vipato vyao vitu tofauti

Nafikiri mngecriticize wearing style , hayo mengine sio yeye ni uumbaji kwasababu kuna mtu hali chakula sana ila ni bonge, mwingine anakula sana kila diet ila mwili ndio vile , kwani professor janabi anasemaje 😅
 
Je kama huko dubai hana kazi ya kufanya
Hawez kosa.. kuna mawakala wemgi tu wanawapeleka dubai, Qatar na Jordan kwenhe house keeping, casual cleaners na ulinzi. Although weng wao wakienda huwa na mipango ya vidili vingi vingi kama huyu mwishowe wanajiharibia na kurudishwa huku.

Kuna jamaa humu anawalaan sana mana alifanyaga interview pale sinza apelekwe ila waliotabgulia waliharibu kwa style hizi so, ile kampuni imepigwa derales. Iko sinza pale
 
Kuwa mwembamba ni njaa?? Unaakili ww? Akili zako zinatumika sawasawa?
January makamba mwembamba
Jerry silaa mwembamba
Hussein bashe mwembamba
Humphrey polepole mwembamba
Luhaga mpina mwembamba
IGP camilius mwembamba
Kumbe na hawa ni njaa.
Kuna wengine hapo waondolewe kwenye group la wembamba mfano Jerry slaa, Bashe..

Wengine watanisaidia kuongezea...
 
Back
Top Bottom