Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Ndio maana DUDE wa kwenye bongo dar es salaam analikua Ana wa win watu wengi Sanaaaa..

Hii synopsis ya kuwa judge watu kwa appearance zao ipo Sanaa huku kwetu afrika mkuu 😊😊
Amini mkuu na bado mpaka kesho posta kuna majamaa yanatembea na suti muda wote wanajifanya usalama kumbe matapeli tu.
 
Mnaomsema mdau kiafya hivi mnafahamu washindi, wachina ,wajapani? Miili yao na vipato vyao vitu tofauti

Nafikiri mngecriticize wearing style , hayo mengine sio yeye ni uumbaji kwasababu kuna mtu hali chakula sana ila ni bonge, mwingine anakula sana kila diet ila mwili ndio vile , kwani professor janabi anasemaje πŸ˜…

Waswahili akili zao za kijinga Sana wanaishi zama za mawe yaani unamwamini MTU kupitia mwili 😁 akili za kijinga kabisa hizi
 
Back
Top Bottom