Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Pole mleta mada kwa majibu unayopokea humu, ulifanya vyema saana kuweka kila kitu kinachokuhusu ktk hili tangazo lako.

Ninachokushauri ni kwamba, angalia kile wateja wanataka, mfano kama wanataka uwe mtu wa kuvaa mavazi fulani basi tafuta mavazi mazuri nadhifu.

Kuwa mnene au mwembamba sio shida kabisa ila je wavaa nini, mavazi yana uwezo wa kukufanya utambulike kwa namna gani na kuficha baadhi ya mambo fulani.
Asante sana nitafanyia kazi ushauri wako
 
IDDY S MHANDO ana muda mfupi sana dubai, ni ajabu leo hii anataka kutembeza watu kona za huko.

2. Umekuwa attention sana kuwa katika midomo ya watu kila wakati. Ulitakiwa utulie na kufocus kwa kile kilichokupeleka kwanza. Ukusanye pesa/ mtaji then ndo uangalie fursa zingine (side hustling). Utajikuta kila kitu unakitaka alaf sio efficient kwa wakat huo

3. Jamii forum sio mahala sahihi kwq marketing has hasa ya sasa. Mana hata hata watu wa kuja huko kufanya utalii hawawez kuwa wengi. Watu wengi humu ni wasaka fursa kama mm na wew. So usiipe attention saana kweny plan zako kubwa kubwa kama hizi
Shukrani sana
 
To cut the story short., Uilitakiwa useme "gharama za huku"
Kawe kanaelewa kiswahili
Bado najifunza kiswahili ila... kiukweli siwezi kudanganya...kuwa nipo sehemu Fulani kumbe sipo...!

IMG_20240611_032820_719.jpg

 
Hawez kosa.. kuna mawakala wemgi tu wanawapeleka dubai, Qatar na Jordan kwenhe house keeping, casual cleaners na ulinzi. Although weng wao wakienda huwa na mipango ya vidili vingi vingi kama huyu mwishowe wanajiharibia na kurudishwa huku.

Kuna jamaa humu anawalaan sana mana alifanyaga interview pale sinza apelekwe ila waliotabgulia waliharibu kwa style hizi so, ile kampuni imepigwa derales. Iko sinza pale
Brother Mimi siku pelekwa na kampuni yoyote na simshauri mtu aende kwa kupelekwa na kampuni...!

Siku hizi hurudishwi kama ulivyo kalili Bali unafia huko huko na wanakurudisha kwa gharama zao baada ya kufa😂😂😂😂​
 
Back
Top Bottom