Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Je unawaza kwenda Dubai kibiashara...?
Je unawaza kwenda Dubai kwaajili ya KUTAFUTA kazi...?
Je unawaza kwenda Dubai kutembea...?

Kwa unae taka kwenda Dubai kwa Sababu nilizo ziainisha hapo juu solution la tatizo lako Mimi ninalo.
View attachment 3017911
Ukifikiria kwenda Dubai usiogope Tena juu ya wapi utafikia, nani atakupokea airport...na ni nani atakutembeza kupata kile utakacho kifata...!

Kwa gharama nafuu sana nitakutembeza na kukuguide kwa muda tutakao elewana.

Hivyo usiogope Tena kuja Dubai...!

Nipo DUBAI kwaajili Yako njoo Whatsapp tujadiliane Katalog von mhando auf WhatsApp ansehen

{+971581480619 Whatsapp}​
Shukrani sana Ndugu Iddy kwa kutupa fursa hii. Kwa mtu anayeplan kutembelea Dubai mwezi wa 12/2024, ni;
1. Kipi anapaswa kuwa amefanya hadi muda huu (assume wahusika Wana passports)
2. Utaratibu wa kupata vissa ukoje na unachukuwa muda gani na gharama kiasi gani kwa kila mtu?
3. Gharama y ndege kama TZS ngapi kwa kila mtu mzima?
4. Kama lengo la safari ni utalii, gharama zake zikoje (tourguide pamoja na vivutio zikoje?
5. Gharama za accomodations zikoje?
6. Ushauri wowote kwa familia inayoplan kutembelea Dubai kwa ajili ya utalii?

Nikushukuru kwa uthubutu wako Ndugu, wewe ni mpambanaji sana sana
 
Watanzania wengi wana roho mbaya, wana wivu usio na maana, nina mtu namfahamu anafanya kazi na taasisi moja linashughulika na malaria,jamaa anapokea pesa ndefu sana ila ukimuona unaweza ukakataa kabisa.

Muonekano, afya yenye rutuba hayo mengine ila mtu ameamua kurahisisha kwa wanaotaman kwenda huko na kupata msada wake basi naona tungebaki humo.

Hayo majitu yenye vitambi ndio kila siku yanatapeli watu mjini hapa
 
Shukrani sana Ndugu Iddy kwa kutupa fursa hii. Kwa mtu anayeplan kutembelea Dubai mwezi wa 12/2024, ni;
1. Kipi anapaswa kuwa amefanya hadi muda huu (assume wahusika Wana passports)
2. Utaratibu wa kupata vissa ukoje na unachukuwa muda gani na gharama kiasi gani kwa kila mtu?
3. Gharama y ndege kama TZS ngapi kwa kila mtu mzima?
4. Kama lengo la safari ni utalii, gharama zake zikoje (tourguide pamoja na vivutio zikoje?
5. Gharama za accomodations zikoje?
6. Ushauri wowote kwa familia inayoplan kutembelea Dubai kwa ajili ya utalii?

Nikushukuru kwa uthubutu wako Ndugu, wewe ni mpambanaji sana sana
Nipigie tuzungumze Whatsapp +971581480619
 
Je unawaza kwenda Dubai kibiashara...?
Je unawaza kwenda Dubai kwaajili ya KUTAFUTA kazi...?
Je unawaza kwenda Dubai kutembea...?

Kwa unae taka kwenda Dubai kwa Sababu nilizo ziainisha hapo juu solution la tatizo lako Mimi ninalo.
View attachment 3017911
Ukifikiria kwenda Dubai usiogope Tena juu ya wapi utafikia, nani atakupokea airport...na ni nani atakutembeza kupata kile utakacho kifata...!

Kwa gharama nafuu sana nitakutembeza na kukuguide kwa muda tutakao elewana.

Hivyo usiogope Tena kuja Dubai...!

Nipo DUBAI kwaajili Yako njoo Whatsapp tujadiliane Katalog von mhando auf WhatsApp ansehen

{+971581480619 Whatsapp}​
Mbona umekaukiana sana mkuu? Jitahidi kula mkuu!
 
Bwana Iddy, kwa ajili ya uelewa wa wengi, sio vibaya ukatoa ufafanuzi wa hoja zangu. Haya mambo ya kupigiana simu yanaleta ukakasi kind off. Wewe mwaga data hapa jukwaani
Tatizo muda wa kuandika...😂😂😂 Hoja zako zinahitaji post yake...ila usijali nitakujibu
 
Tusije umbuana, kwaheri!
Uniumbue Mimi nilie amua kutumia majina yangu ya ukweli...labda uumbuke wewe unae tumia nik name...!

Hata ukisema nikurushie kitambulisho changu naweza Nika kutumia Tena hapa hapa kwenye post...sijui unacho bishania hapa ni kipi kwani Dubai ni mbinguni siwezi kwenda au...!​
 
Back
Top Bottom