Kwa mnaotaka kuja Norway, ujipange kwa vyakula na vinywaji

Correct. Hata kuwa na nyumba Ulaya ni ushu kubwa, maana lazima uchukue mkopo ili ujenge, na utalipa almost kwa miaka mingi sana. Mabepari sio watu, wametengeneza mfumo huo makusudi ili waendelee kukamua watu (hand to mouth).
 
Yaaap. Ila Norway sio mwanachama wa EU, kwa hiyo vitu vingi bei zake zipo juu ya average ya EU.
 
Mliishi majimbo ya aghsli kulingana na vipato vyenu halafu msitutishe tutakuja huko huko HAMKUSTAHILI

Ni sawa na bongo mtu anaeishi mbagala,kipawa.kwa azizi ally ...maisha huku ni rahisi mno.chipsi bei poa.nyama.mbogamboga.matuna tena viko vingi na ni vizuri tu.

kulinganisha na Masaki.mbezi beach.upangank
Hapa maisha ni tofaufi sana.vipaja.matunda.chips. nyama Buchani. Soda pepsi tu kule mbezi beach mweee!! Uswahilini unakunywa pepsi nne!
So
bei yake ni takribani mara tatu ya kule Mbagala hotel.kwa ukumbi wa shigongo nk.
Ivoivo majuu pako hivo.msitishike nimekaa sana huko.napajua vyema.

Mwana mara akiingia Bongo darisalama akafikia Masaki.mbezi beach atapeleka taswira gani Mkoani??

Mfikiriege siyo mnameza tu!! Mwana kijiji Ikitokea akatibiwa Aghakan kwa msaada wa ndg heee!! ndo kabisaaa umemuua fikra za kuishi bongo. Taswira atakayoipeleka huko heee!!

Kuja bongo tu hapo! tulitishwa saaaaana!! Na wana kijiji Ooh! Ni pagumu mara oooh!Madudu kibaoo...

Tulienda na tukafanya vizuri kuliko wenyeji....tukaongezea na ughaibuni.

Na ulaya pia ivoivo!!! Nendeni msiogope mbona wao wanaishi??
 
Nisharejea ndugu, nipo Uswazi.
Ni kweli, bei zinatofautiana baina ya jiji na jiji, ila sio kiviiile. Mie nilikua naishi eneo la Toyen, nje kidogo ya jiji la Oslo.
 
Correct. Hata kuwa na nyumba Ulaya ni ushu kubwa, maana lazima uchukue mkopo ili ujenge, na utalipa almost kwa miaka mingi sana. Mabepari sio watu, wametengeneza mfumo huo makusudi ili waendelee kukamua watu (hand to mouth).
umesema vyema kabisa sasa sikia...

Na wewe nenda huko ili uwe Miongoni mwa wakopeshaji jipendekeze wape hata naniliu ilee inaitwaje vile.... Bila kujali!! Endapo tu km wakiitaka.

ukishindwa kabisa jiunge na hao wakopeshaji uwe miongoni mwao hao Mabepari.

Nikuulize swali kwani bongo hkn Mabepari??!! Bepari sugu Lingine limekufa juzi juzi hapa.

hili lilijenga barabara ya ndege uani kwake.tena wazi wazi na kwa ukatili wa hali ya juu.Mpaka Mungu alichukia mnajua kilicholipata...

Nimetoa clip moja kuonyesha uwanja huo wa hilo bepari ulivo chakaa mda mfupi tu baada ya kutoweka Duniani.na Mbaya zaidi..

hkn ndege ilisha tua pale.tangu litoweke. Itafute hiyo clip.....

Siyo una lia lia hapa. ...ili iweje ...mifumo !!mifumo. Hiyo yenu mizuri iko wapi?? ya wengine mibaya!!! Mwee!!
 
wewe!! Ulikimbiza mwenge sana. Ndo dalili number moja.

Au uko unaishi karibu na barabara. Panapo pita mwenge kila mwaka Siku ukihamIa mbali na barabara utalia sana. Ili usilie kaa hapo hapo!!
sana!
hujakosea.
 
Nisharejea ndugu, nipo Uswazi.
Ni kweli, bei zinatofautiana baina ya jiji na jiji, ila sio kiviiile. Mie nilikua naishi eneo la Toyen, nje kidogo ya jiji la Oslo.
Unarudi uswazi hallow??!!sioati picha kufanya nini?

Hapo ndg zako wanakuona uko drja la juu!! Ukifanya masihara utakufa na stress! Labda uwe na hela chafu watoto wako wasome then keep distance!!

Ukiwakumbatia na kuwasaidia sana watakuona una stress!! Na kukuita majina ya hovyo.

hivi unajua waliosema mchawi ndg hawajakosea??

Sasa kwa nini uishi na wachawi?? Tupa kule na weka mipaka.ukiishiwa jijue!! Ukipata piga kimya kivyako na marafiki wa maana.
Bora utusaidie sisi humu tutakuvuta one day
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 kule nilienda kwa malengo maalum, yalipokamilika nimerejea Uswazi man. Nimewekeza sana huku, siwezi kwenda kuwa kibarua kule wakati uswazi nimeweka mambo sawa muda tu. Ila huwa naenda mara kwa mara kuosha macho, sijakata mguu kabisa. Ila tangu haka kaugonjwa ka kuoumua kameanza, hata stimu za kwenda kule zimepungua sana
 
Mkuu umemaliza kila ktuuuu apa
 
Tambua kwamba huwezi kuwa mtumwa kwenu..........
Wabantu wote nyie ni wakuja tu!! hamjui asili yenu ni wapi!!.... wenye nchi yao kindaki ndaki kwa hii Tanzania ni Wagogo na Wahadzabe tu!! wengine wooote mmmeletwa tu humu! na kukimbia vita hovyo! hamjijui...

Mkoloni alipokuja humu alikuta ni mapori tu!! ndo maana wazungu wakakaa kwa jeuri kitako kuleee Berlin Conferences ili kugawana Mapori ya Africa hii ya leo!! km Tanzania kweli ni ya kwenu nani mwakilishi aliitwa kwenye ule Mkutano ili kuweka mipaka??...

Utake usitake hati miliki ya Bongo Land iko Vatican!! hapo Bongo siyo kwenu, usijidanganye mchana!!...hapo unapoishi wakijua kuna Madini tu!! unapewa posho uondoke!! kama mie muongo uliza wakaazi wa kipawa walivo fanyiwa wako wapi leo??? na

sasa wamasai ngorongoro, ..Loliondo wanalia hawajui hatma yao! wewe bado una mawazo ya kijima hayo??? wenye nchi wanaitaka ngorongoro!!! unasikia? hata wakitaka hapo ulipo unaondoka tu! mda na saa yeyote!!...wahi Ulaya ukashike kiwanja dogo!!

Hapo Bongo siyo kwenu nyie bado watumwa tu, mnamilikiwa na Malkia eti mnajiita Jumuiya ya Madola! mnafurahiiiiii!!...... km ulivo sema! eti hapo ni kwenu Mwweee!! wkt Bongo mnalishwa kwa misaada???....si bora wende kwa Bwana Ulaya mstaaarabu mkuu!?!?

km kweli Bongo ni kwenu mbona mmeshindwa kutumia maji ya ziwa victoria?? gusa uone kitakacho kupata!!....... mkitaka kujua kuwa si kwenu waulize wa ethiopia walicho kipata!!!..... ...japo wale ni kwao kweli! tangu kuumbwa kwa Dunia!

wewe wamekupata sana!!
 
Pamoja na gharama zote hizo lakin kimo cha mshahara cha chini sio 300000/= kwahyo mkae kwa kutulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…